Wananchi wakitoka kwenye gari kupitia madirishani.
Basi la RATCO linalofanya safari zake Dar es Salaam kwenda Tanga limepata ajali eneo la Kibaha, Pwani leo jioni Aprili 27, 2014.
Kwa mujibu wa shuhuda aliyefika eneo la tukio alisema gari hilo lilipindukia ubavu baada ya kuacha njia.
No comments:
Post a Comment