Ryan Giggs
Kutokana na kutofanya vizuri chini ya uongozi
wake David Moyes hatimaye leo April 22 Manchester United wamemtangaza
Mchezaji wa siku nyingi wa Manchester United Ryan Giggs kukabidhiwa kwa
muda mikoba ya David Moyes aliyetimuliwa kazi leo
David Moyes
No comments:
Post a Comment