Pages

Friday, April 11, 2014

MABONDIA MIYEYUSHO,CHEKA,KING CLASS MAWE WAPIMA UZITO KUPAMBANA KESHO PTA SABASABA


Bondia Mustafa Dotto kushoto akitunishiana misuli na Ibrahimu Class 'KIng class Mawe' kabla ya kuzipiga katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 12 siku ya jumamosi katikati ni Promota Jay Msangi




Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Mustafa Doto utakaofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es salaam




Bondia Fransic Miyeyusho 'Chichi Mawe' akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake utakaofanyika PTA Sabasaba April 12 siku ya jumamosi 

 Bondia Fransic Cheka akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake wa kesho April 12 katika ukumbi wa PTA Sabasaba kushoto ni bondia Gavad Zohrehvand wa Iran 

BAADHI YA WAANDISHI WA HABARI WAKIPATA TASWILA MBALIMBALI ZA MABONDIA WAKATI WANAPIMA UZITO

No comments:

Post a Comment