Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Balozi wa Canada nchini
Mh.Alexandre Leveque na kufanya naye mazungumzo ikulu jijini Dar es
Salaam leo asubuhi.
Gavana
wa Shirika la Lions Club nchini Bwana Wilson Ndesanjo akimvika Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete medali maalum ya Uongozi Bora na mahusiano
mema wakati wa hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo
asubuhi.Bwana Ndesanjo alisema klabu hiyo imeamua kumtunuku Rais Kikwete
medali hiyo kwa kutambua mafanikio makubwa yaliyopatikana nchini katika
Nyanja mbalimbali kutokana na uongozi wake mahiri.

Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa
klabu ya Lions waliofika ikulu jijini Dar es Salaam leo kushiriki hafla
ya kumtunuku Rais Kikwete medali maalumu ya Uongozi Bora na Mahusiano
mema.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mwenyekiti wa SAGCOT Fund Balozi
Ami Mpungwe baada ya kufanya naye mazungumzo ikulu jijini Dar es Salam
leo.
No comments:
Post a Comment