Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Issa
Said Mohamed akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Miono, katika mkutano wa
kampeni, uliofanyika kijijini hapo jana.
Baadhi ya wananchi wa
kijiji cha Miono wakiitikia kauli mbiu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), ya "Peoples Power" wakati wa mkutano wa kampeni
uliofanyika katika kijiji cha Miono jana.
Kiongozi Mkuu wa
kimila wa wamasai, Tikwa Moreto (kushoto), akiongozana na mgombea wa ubunge wa
jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mathayo
Torongey (kulia) na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho taifa, Issa Saidi Mohamed walipokwenda
nyumabni kwake kwa jaili ya kuomba baraka zake leo.
Kiongozi wa kimila wa
wamasai, Tikwa Moreto (aliyeketi), akishiriki kumwombea mgombea wa ubunge wa
jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Dempkrasia na Maendeleo (Chadema), Mathayo
Torongey (wa tatu kushoto), nyumabni kwa kiongozi huyo kijiji cha Gumba, Kibaha
Vijijini leo.
No comments:
Post a Comment