Pages

Sunday, April 20, 2014

MKUU WA WILAYA YA KALAMBO, MHE. MOSHI CHANG'A AFARIKI DUNIA


 
   Marehemu Mhe. Moshi Chan'ga (Enzi za Uhai wake)

 Mkuu wa wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa amefariki dunia Ndugu Moshi Chan'ga siku ya jumapili jioni katika hospitali ya taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na maradhi ya kisukali.

No comments:

Post a Comment