Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Mbumge wa Karatu mchungaji Israeli
Nase(Watatu kushoto),Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe(Wapili
kushoto),Mkuu wa Mkoa wa Arusha Magesa Mulongo(kushoto) na Mkurugenzi wa
Utumishi na utawala wa TRA aliyemwakilisha Kamishna mkuua wa TRA Bwana
Abubakari Kunenge(wapili kulia) na kulia ni mwakilishi wa ofisi ya TRA
Mkoa Bi.Caroline Ntinku
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi
kuashiria kufungua rasmi ofisi ya Mamlaka ya mapato Wilaya ya Karatu jana
mjini Karatu.
No comments:
Post a Comment