SAMUEL SITTA AMPA TAARIFA YA MWENENDO WA BUNGE MAALUM LA KATIBA RAIS DKT ALI MOHAMMED SHEIN
Mwenyekiti
wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samuel Sitta akimpatia taarifa juu ya
mwenendo wa Bunge Maalum la katiba na ulipofikia, Rais Wa Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar Mheshimiwa Dkt. Ali Mohammed Shein, alipomtembelea
nyumbani Ikulu ya Migombani Zanzibar. Mhe Sitta alikuwa Visiwani
Zanzibar kwa lengo la kuonana na Mhe. Shein kumpatia taarifa kamili ya
shughuli za Bunge Maalum la Katiba.
No comments:
Post a Comment