AJALI YA BASI IMETOKEA MKOANI SIMIYU
Habari kutoka mkoani Simiyu ni kwamba watu zaidi ya 20 wamefariki dunia na
wengine wengi kujeruhiwa baada ya basi la Luhuye walilokuwa wanasafiria kutoka
Musoma kwenda Mwanza kugonga nyumba na kupinduka wilayani Busega mkoani Simiyu.
Inaelezwa kuwa majeruhi hawana msaada kwani ajali hiyo
imetokea eneo la kijijini.
No comments:
Post a Comment