Katibu Mkuu wa
CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Urambo Ndugu
Samuel Sitta wakati wa mapokezi katika kijiji cha Izimbili wilaya ya
Urambo mkoani Tabora,Katibu Mkuu atakuwa kwenye ziara ya siku moja
katika wilaya ya Urambo ambapo atakagua utekelezaji wa ilani ya
Uchaguzi ya CCM 2010 na uhai wa Chama.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Viti maalum mkoa wa Tabora
Magreth Sitta wakati wa mapokezi katika kijiji cha Izimbili wilaya ya Urambo mkoani
Tabora,Katibu Mkuu wa CCMatakuwa kwenye ziara ya siku moja katika wilaya ya
Urambo ambapo atakagua utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi ya CCM 2010 na uhai wa Chama
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimia wakazi wa kijiji cha Izimbili wilayani Urambo mkoa wa Tabora.
Umati wa
wananchi wa kijiji cha Izengabatogilwe ukiwa nje ya jengo la
Zahanati,Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alitembelea
zahanati hiyo na kukagua maendeleo ya zahanati hiyo.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi wa kijiji cha Izengabatogilwe wakati wa ukaguzi wa mradi wa zahanati ya kijiji hicho.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua vyumba vya zahanati ya kijiji cha Izengabatogilwe
Zahanati ya kijiji cha Izengabatogilwe
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi wa kijiji cha Izengabatogilwe wakati wa ukaguzi wa mradi wa zahanati ya kijiji hicho.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua vyumba vya zahanati ya kijiji cha Izengabatogilwe
Zahanati ya kijiji cha Izengabatogilwe
Katibu Mkuu wa
CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa maabara ya shule ya
sekondari ya Uyumbu akishirikiana na Mbunge wa Urambo Ndugu Samuel
Sitta.
Katibu Mkuu wa
CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa kwenye picha ya pamoja na kikundi cha
ulinzi shirikishi cha kijiji cha Izengabatogilwe pamoja na Katibu wa
NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na mbunge wa Urambo Ndugu Samuel
Sitta.
Katibu Mkuu wa
CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua shamba la mahindi kwenye Mradi wa
Shamba Darasa kituo cha kilimo cha Matone katika kijiji cha Kapilole
,Urambo.
Shamba la mahindi katika kituo cha Kilimo cha matone katika kijiji cha Kapilole,Urambo.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa kwenye picha ya pamoja na wakulima kituo cha Kilimo cha Matone,wengine pichani ni Mbunge wa Urambo Ndugu Samuel Sitta na Mbunge wa Viti Maalum Magreth Sitta.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa kwenye picha ya pamoja na wakulima kituo cha Kilimo cha Matone,wengine pichani ni Mbunge wa Urambo Ndugu Samuel Sitta na Mbunge wa Viti Maalum Magreth Sitta.
Katibu Mkuu wa
CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa ofisi ya CCM Tawi la
Mabatini pamoja na Mbunge wa Urambo Ndugu John Samuel Sitta na wana CCM
wengine.
Katibu Mkuu wa
CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia vitanda vya wodi ya Mama Ngojea
kwenye hospitali ya wilaya ya Urambo,ambapo wodi hiyo itasaidia sana
wakina mama kujifungua salama.
Katibu Mkuu wa
CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisaini vitabu vya wageni kabla ya kuanza
kwa kikao cha halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Urambo,wengine pichani
ni Mbunge wa Urambo Samuel Sitta na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi
Nape Nnauye.
Wajumbe wa Kikao
cha Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Urambo wakiwa kwenye ukumbi wa
mkutano tayari kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
No comments:
Post a Comment