Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mamia ya wananchi mjini
Endasaki, Hanang, jana, Mei 27, 2014, akiwa katika ziara ya kukagua
utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi na njia
sahihi ya kutatua kero hizo mkoani Manyara
Katibu
Mkuu wa CCM, Kinana na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye
wakiongozana na Vijana wa Kibarbeig kuingia kwenye mkutano wa hadhara
uliofanyika Ofisi ya CCM Kateshi, jana, Mei 27, 2014.
Katibu
Mkuu wa CCM, Kinana akihutubia mamia ya wananchi katika mkutano wa
hadhara uliofanyika Viwanja vya Ofisi ya CCM Katesh, mkoani Manyara
Kinana akihutubia kwenye mkutano huo wa Katesh
Mbunge wa Hanang, Mary Nagu akihutubia kueleza utekelezaji wa ilani ya CCM jimboni mwake kwenye mkutano huo wa Katesh
Wananchi wakiwa kwenye mkutano huo
Mkuu wa Wilaya ya Hanang Christina Mndeme akisalimia wananchi kwenye mkutano huo wa Katesh
Waziri
Mkuu mstaafu Frederick Sumaye na Mbunge wa Hanang Dk. Mary Nagu
wakijadili jambo wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika Katesh mkoani
Manyara, Mei 27, 2014. Sumaye amewahi pia kuwa mbunge wa Hanang.
Kinana
akikabidhi vifaa vya michezo kwa timu ya Igembesabo iliyoibuka bingwa
katika michuano ya Vijana wa jimbo la Hanang, wakati wa mkutano wa
Katesh
Kinana na Nagu wakikabidhi mizinga ya nyuki kwa vikundi vya vijana Katesh
Mwanachama wa Chadema akirudisha kadi yake kwa Kinana alipoamua kuhamia CCM kwenye mkutano wa Katesh
Kinana akipiga mpira wakati Nagu akisubiri kuudaka, wakati wa ufunguzi mashindano ya vijana Endasaki
Kinana akipiga mpira wakati Nagu akisubiri kuudaka, wakati wa ufunguzi mashindano ya vijana Endasaki
Kinana na Sumaye wakishiriki ujenzi Ofisi ya CCM tawi la Qaroda,
No comments:
Post a Comment