Pages

Monday, May 19, 2014

LOUIS VAN GAAL NDIYE KOCHA MPYA WA MANCHESTER UNITED

Louis van Gaal 
kocha mpya wa Manchester United.
 
KOCHA wa timu ya Taifa ya Uholanzi, Louis van Gaal ndiye kocha mpya wa Manchester United. Gaal ataiongoza timu hiyo kwa miaka mitatu baada ya Kombe la Dunia 2014 nchini Brazil.

Aliyekuwa kocha wa muda wa timu hiyo, Ryan Giggs ndiye atakuwa msaidizi wake. 

Klabu ya Manchester United imethibitisha taarifa hizi kupitia ukurasa wake wa Facebook hivi punde.

No comments:

Post a Comment