Bahati Muriga mshindi
wa Mama Shujaa wa Chakula 2014 akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya Tzshs.
Milioni 25 aliyoshinda kwa ajili ya vifaa vya kilimo. Kutoka kulia ni Babu wa
kijiji, Epheta Msiga wa DMB na Mkamiti Mgawe kutoka Oxfam.
Mshiriki Boniphace Meng'anyi Nyakena akipokea
mfano wa hundi ya Tzshs. Milioni 25 alizoshinda katika msimu huu. Kutoka kulia
ni Mkurugenzi Mkazi wa Oxfam Jane Foster, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya
Kilimo, Chakula na Ushirika Yamungu Kuyandabila, Babu wa kijiji, mwakilishi
kutoka Datavision International pamoja na Epheta Msiga ambaye ni afisa mradi wa
Maisha Plus kutoka kampuni ya DMB.
Mshindi wa Maisha Plus Boniphace Meng'anyi Nyakena akiwa na Bahati Muriga mshindi
wa Mama Shujaa wa Chakula 2014
Hizi ni tuzo mbalimbali za Mama shujaa wa Chakula ambazo zilitolewa kwa washiriki wote
Mkurugenzi Mtendaji wa DMB ambao pia ni
waandaaji wa shindano la Maisha Plus Masoud Ally (Kipanya) akiwa anatoa
Miongozo mbalimbali wakati wa Sherehe hizo za kumpata mshindi wa Maisha
Plus Na mama Shujaa wa Chakula 2014
Mkurugenzi Mkazi wa Oxfam Tanzania Jane
Foster akitoa Hotuba yake wakati wa Fainali za kumpata mshindi wa Maisha
Plus na Mama shujaa wa Chakula 2014
Mgeni Rasmi katika Fainali za kumpata Mshindi wa Mama
Shujaa wa Chakula na Maisha Plus 2014 Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika Yamungu Kuyandabila
akitoa hotuba yake
Mwakilishi kutoka EKEMA Hilda Mashauri
wakitangaza zawadi yao ya Tsh 500,000 wakati wa Fainali za Shindano la
Kumpata Mshindi wa Maisha Plus na Mama Shujaa wa Chakula.
Mwakilishi kutoka Forum CC Ibrahim
Mhazi akitangaza zawadi yao ya Tsh 1,000,000 wakati wa Fainali za
kumpata Mama Shujaa wa Chakula na Maisha Plus 2014 jana katika kijiji
cha Maisha Plus
Mwakilishi kutoka Chuo kikuu cha Dar es
salaam Kitengo cha Jinsia Halima Komolanya akitangaza zawadi yao ya Tsh
500,000 wakati wa Fainali za kumpata Mshindi wa Maisha Plus na Mama
shujaa wa Chakula
Mwakilishi
kutoka Data vision International wakitangaza
zawadi yao ya Laptop moja kwa Mshindi wa pili wa Maisha Plus
Mwakilishi wa Katibu Wizara ya
Maendeleo, Jinsia na watoto Daniel Wambura akizungumza jambo wakati wa
Fainal za Maisha kati wa Fainali za kumpata Mama Shujaa wa Chakula na
Maisha Plus 2014 jana katika kijiji cha Maisha Plus.
Mwakilishi kutoka Adon Lodge Mrs.
Watengakiwaya akitangaza zawadi yao ya Shamba lenye ukubwa wa Heka mbili
kwa ajili ya kuendeleza Kilimo.
Mshindi wa Maisha Plus msimu uliopita Belenick Kimiro akitoa salam za shukurani na kuvua rasmi nafasi yake.
Khadija Mwanamboka Balozi wa Mama shujaa
wa chakula kutoka Oxfam akitoa salam zake na kuhimiza kilimo kwa
wakulima wadogo wadogo hasa wanawake kwa kuwa inalipa
Washiriki wa Maisha Plus na Mama Shujaa wa Chakula wakiwa wanafuatilia kwa Makini Fainali hizo
ambapo kati ya hawa kulikuwa na washindi wawili
ambapo kati ya hawa kulikuwa na washindi wawili
Walio kaa Mstari wa Mbele ni washiriki wa Maisha Plus ambao walitolewa wakati wa hatua za mwanzoni
Wageni mbalimbali waliofika kushuhudia Fainali za kumpata Mshindi wa Maisha Plus na Mama Shujaa wa Chakula
No comments:
Post a Comment