Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na watanzania waishio nchini Japan, wakati alipokutana nao
kwa mazungumzo yaliyofanyika kwenye Hoteli ya The New Otani, wakati
akiwa katika ziara yake ya kikazi nchini humo, jana Mei 21, 2014.
Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Japan, Salome Sijaona.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na watanzania waishio nchini Japan, wakati alipokutana nao
kwa mazungumzo yaliyofanyika kwenye Hoteli ya The New Otani, wakati
akiwa katika ziara yake ya kikazi nchini humo, jana Mei 21, 2014.
Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Watanzania waishio Japan (Tanzanite Society) David
Semiono, akisoma risala ya Jumuiya yao wakati wa hafla ya chakula cha
jioni na Makamu wa Rais Dkt. Bilal, iliyofanyika kwenye Hoteli ya The
New Otan, jijini Tokyo Japan, jana usiku.
Baadhi
ya Watanzania waishio nchini Japan, wakimsikiliza Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati
alipokuwa wakiwahutubia katika hafla ya chakula cha jioni, iliyofanyika
kwenye Hoteli ya The New Otan, jijini Tokyo Japan, jana.

Makamu wa Rais Dkt. Bilal akiwa katika picha ya pamoja na watanzania waishio nchini Japan, baada ya mazungumzo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na mwanamuziki Mtanzania wa bendi ya The Tanzanite, Abuu Omar,
wakati alipokuwa akiagana na baadhi ya Watanzania waishio Japan,
waliohudhuria hafla hiyo ya chakula cha jioni. Kulia ni Mke wa Makamu,
Mama Asha Bilal.
Baadhi ya Watanzania, waishio nchini Japan wakipiga picha ya kumbukumbu ya pamoja na ujumbe wa Makamu.
No comments:
Post a Comment