MSANII wa
filamu Rachel Haule 'Recho' aliyefariki dunia siku ya jana atazikwa
jijini Dar es Salamm siku ya kesho badala ya Songea kama ilivyopangwa
hapo awali.
Ratiba ya
kuuaga mwili wa marehemu inabaki pale pale siku ya kesho Leaders Club
na baadae kwenda kuzikwa katika makaburi ya Kinonondoni.
No comments:
Post a Comment