PICHA ZA WABUNGE WA UPINZANI WAKITOKA NJE YA UKUMBI WA BUNGE DODOMA LEO
Wabunge
kutoka vyama mbalimbali vya upinzani Bungeni wakiongozwa na Kiongozi wa
Kambi ya upinzani FreeMan Mbowe wakitoka nje ya bunge kususia mjadala
wa bajeti ya Wizara ya Wizara ya nishati na Madini uliokuwa ukiendelea
Bungeni mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment