Pages

Saturday, May 31, 2014

PICHA NA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA MSIBA WA GEORGE TYSON DAR NA MOROGORO


  
  
  
Msanii AY na Mkuu wa Wilaya ya Mvumelo, wakitoka kuchukua mwili.
Mtangazaji wa kipindi cha The Mboni Show, akifutwa machozi wakati akilia kwa uchungu, akiwa ni mmoja kati ya watu waliyekuwa na marehemu jana kabla ya kifo hicho wakiwa katika zoezi la kugawa madawati.
Baadhi ya waombolezaji waliofika kuchukua mwili Hospitali.....
Baadhi ya waombolezaji na wafanyakazi wa TV1 wakiwa nyumbani kwa Tyson....
Aliyekuwa Mkwe wa Tyson, Natasha, Mama yake na Monalisa aliyekuwa mke wa Tyson, akiwa na waombolezaji nyumbani kwa Tyson.

No comments:

Post a Comment