Pages

Saturday, May 17, 2014

RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AKUTANA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA VIETNAM

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Vietnam Bibi Nguyen Phuong Nga,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi na ujumbe aliofuatana nao.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Vietnam Bibi Nguyen Phuong Nga,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi na ujumbe wake.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akifuatana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Vietnam Bibi Nguyen Phuong Nga,baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi  


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akiagana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Vietnam Bibi Nguyen Phuong Nga,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi na ujumbe aliofuatana nao.
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu]

No comments:

Post a Comment