Mkurugenzi
wa Mawasiliano Ofisi ya Rais Bw. Salva Rweyemamu na mkewe Isabella
wakiweka shada la maua kwenye kaburi la mtoto wao Private Brian Salva
Rweyemamu katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam leo.
Salva na mkewe wakiweka shada la maua...
Dada
wa Marehemu Private Brian Salva Rweyemamu wakiweka shada la maua wakati
wa mazishi katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam leo
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salva Kikwete wakiweka shada la maua
kwenye kaburi la Private Brian Salva Rweyemamu wakati wa mazishi katika
makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014.
No comments:
Post a Comment