Pages

Monday, May 26, 2014

VIJANA 200 KUPATA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KUTOKA KWA TAASISI YA NKWAMIRA

Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam, wakati wa akizindua mafunzao ya uajasiriamali kwa vijana 200 waliomaliza masomo ya kidato cha nne na sita yatakayofanywa chini ya taasisi isiyo ya kiserikali ya Nkwamira.
 Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya Kiserika ya Nkwamira, Noreen Mazalla akizungumza wakati wa uzinduzi wa mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana 200 waliomaliza masomo ya kidato cha nne na sita yatakayoendeshwa chini ya taasisi hiyo, Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa DTP, Suheil Abdulrasul na Mkurugenzi Mtendaji wa DTBI, George Mulamula. 
 Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya Kiserika ya Nkwamira, Noreen Mazalla akiteta jambo na Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi wakati wa uzinduzi huo.
 Baadhi ya vijana watakaonufaida na mafunzo hayo.
  Baadhi ya vijana watakaonufaida na mafunzo hayo.
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya Kiserika ya Nkwamira, Noreen Mazalla (katikati) na  Anver Rajpar.

No comments:

Post a Comment