Nasrah Rashid (kulia) enzi za uhai wake. Kushoto aliyekaa ni
baba yake mzazi Rashid Mvungi.
MTOTO Nasrah Rashid (4) aliyekuwa akitibiwa katika Hospitali
ya Taifa Muhimbili baada ya kuugua na kupata ulemavu kwa kufungiwa kwenye boksi
miaka minne amefariki dunia. Nasrah alifichwa kwenye boksi na mama yake mkubwa
aitwaye Mariamu Said mkazi wa Kiwanja cha Ndege, Morogoro tangu akiwa na miezi
tisa baada ya mama yake mzazi kufariki. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI
PEMA PEPONI.
No comments:
Post a Comment