Pages

Sunday, June 1, 2014

MWILI WA MAMA YAKE ZITTO KABWE WASAFIRISHWA KWENDA KIGOMA KWA MAZISHI

Zitto kabwe akiwa na Prof  Ibrahimu Lipumba wakati wa kuuaga Mwili       wa    mama yake kipenzi Bi Shida Salumu aliyefariki leo kabla ya      kusafirishwa 

Ndege Ikiandaliwa Ili kuweza Kuingiza Mwili wa Marehemu Mama yake        Zitto Kabwe
Waheshimiwa Wabunge na Baadhi ya Viongozi wakibeba Jeneza lililobeba Mwili wa Marehemu Mama Yake Zitto Kabwe Bi Shida Salum  kuingiza kwenye ndege Tayari kwa safari ya kwenda Kigoma Kwenye mazishi

Prof Ibrahimu Lipumba akijadili jambo na Mwezie baada ya kupakia mwili wa marehemu kwenye ndege kuelekea kigoma Kwenye maziko
Rais wa TASWA Juma Pinto akiwa VIP ya Terminal 1 JKN Airport alipokutana na Cardinal Pengo wakati wa kuaga mwili wa Mama yake Zitto Kabwe

No comments:

Post a Comment