Rais kikwete amemwapisha Jaji mstaafu Hamis Msumi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya 'Operesheni Tokomeza'. Wengine wanaounda tume hiyo ni Majaji wastaafu Stephen Ihema na Lyimo. Watachunguza yaliyojiri katika Operesheni Tokomeza awamu ya kwanza kabla ya awamu ya pili kuanza tena.
Rais kikwete akimwapisha Joseph Edward Sokoine kuwa miongoni mwa wanaounda tume ya operesheni tokomeza ujangili leo
No comments:
Post a Comment