Pages

Friday, June 20, 2014

PICHA YA LORI LILILOBOMOA DARAJA


Wakazi wa Kinyerezi, wakishangaa ajali ya Roli lililovunja daraja kutokana na uzito wa gari hilo jana. Sasa wakazi wa Kinyerezi watalazimika kutumia njia ya Segerea na Mongolandege

No comments:

Post a Comment