Pages

Friday, June 20, 2014

RAIS KIKWETE ATEMBELEA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI

 Dkt Jakaya Mrisho Kikwete leo amekumbuka enzi za kuwa mwalimu katika Chuo cha jeshi la Wananchi wa Tanzania cha Monduli, Arusha, alipotoa  mhadhara  kuhusu Fursa (A lecture of Opportunity) katika Chuo cha Taifa cha ulinzi (National Defence College -NDC- ) kilichopo Kunduchi  jijini Dar es salaam ambako aliahidi kwamba baada ya kustaafu Urais mwakani atakuwa mwalimu chuoni hapo. Pichani anaonekana  Rais Kikwete akisikiliza swali kutoka kwa mmoja wanafunzi hao baada ya mhadhara wake.
Rais jakaya kikwete akiwa anajikumbuahia enzi za kuwa mwalimu katika chuo cha monduli na hapo akiwa anasikilizwa na wanafunzi wa chuo cha ulinzi.

Rais kikwete akiwa  kwenye picha ya pamoja na wahadhili na wanafunzi wa chuo cha ulinzi       alipokwenda leo hapo chuoni kilichopo kunduchi jijini Dar es salaam

No comments:

Post a Comment