Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akutana na kufanya mazungumzo na Rais mpya wa
Misri Mhe Abdel Fattah Al-Sisi mjini Malabo, Equatorial Guinea, pembeni
ya Mkutano wa kawaida wa Umoja wa Afrika Juni 26, 2014.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais mpya wa Misri Mhe Abdel
Fattah Al-Sisi mjini Malabo, Equatorial Guinea, pembeni ya Mkutano wa
kawaida wa Umoja wa Afrika Juni 26, 2014
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment