Pages

Saturday, July 5, 2014

MLIPUKO WA BOMU JIJINI ARUSHA LAWAJERUHI MASHEIKH

Watu wawili akiwemo Mkurungunzi wa taasaisi ya Ansurisuna kanda ya kaskazin Shekhe Sudi Ally Sudi wamejeruhiwa vibaya na kitu kinachoisiwa kuwa ni bomu la kutupwa kwa mkono usiku wa kuamkia leo eneo la majengo jijini Arusha.

No comments:

Post a Comment