Pages

Wednesday, October 15, 2014

MAMBO USIYOYAJUA KUHUSU MISS TANZANIA 2014

Miss Tz 2014
Kwasasa ana umri wa miaka 18... Ana Masters!!!!
Piga hesabu:
Miaka 7-Primary
Miaka 4-O level
Miaka 2-A level
Mwaka 1-Masters
Miaka 3-1st Degree
Kwa hiyo alianza shule akiwa na mwaka 1...

Tafakari!!!

No comments:

Post a Comment