MANCHESTER City imeanza kushika kasi kwenye Ligi Kuu ya England baada ya kuitandika Tottenham bao 4-1 na kuendelea kuidhibiti nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi.
Magoli yote ya Manchester City yaliwekwa kimiani na mshambuliaji Sergio Aguero katika dakika za 13, 20 (pen), 68 (pen) na 75 huku lile la kufutia machozi la Tottenham likifungwa na Eriksen dakika ya 15.
Manchester City: Hart 9, Sagna 6, Demichelis 6, Kompany 7, Clichy 6.5, Milner 7.5, Lampard 8 (Fernandinho 28 6), Fernando 6 (Toure 60 6), Navas 6.5, Silva 7.5 (Jovetic 70 6), Aguero 9.5
Tottenham: Lloris 8, Dier 6.5, Fazio 6, Kaboul 5.5, Rose 6; Capoue 6 (Dembele 60 6), Mason 6 (Vertonghen 70 6), Chadli 7, Eriksen 7.5, Lamela 5 (Townsend 60 6), Soldado 6
No comments:
Post a Comment