Pages

Saturday, October 11, 2014

MWANACHUO WA CHUO CHA UHASIBU ANUSURIKA KIFO BAADA YA KUJARIBU KUJICHOMA KISU KISA MAPENZI

Mwanafunzi aliefahamika kwa jina moja la Moza alie mwaka wa kwanza katika chuo cha Uhasibu TIA Mkoani Singida amenusurika kufa baada ya jaribio la kutaka kujiua kwa kujichoma na kisu kushindikana,tukio hilo limetokea jana baada mwanafunzi huyo kumfumania mpenzi wake wa kiume akiwa na mwanamke mwingine.



Chanzo: Matukio





No comments:

Post a Comment