Pages

Saturday, October 11, 2014

KAJALA AKANA KUMSHITAKI MAMA WEMA

Kajala ambaye amesema yupo busy na kazi zake binafsi, amefunguka kuwa hana ugomvi wowote na Wema kama watu wanavyozusha. “Hapana sijamfungulia mashtaka yoyote Mama Wema.

Wema na mama yake Siwezi kufanya kitu kama hicho mama ni mzazi, mzazi kama mzazi huwezi ukasema umrudishie kitu,” amesema. “Mzazi anaweza akakutukana akakufanyia nini lakini still atabakia kuwa mzazi. Sina ugomvi wowote na Wema, hayo mambo sasa hivi hayapo ni kazi tu.”

No comments:

Post a Comment