TAZAMA STAND UNITED WALIVYOKUWA WAKIINGIA UWANJANI NA KATAPILA KUCHEZA NA YANGA
Stand
United wakiingia uwanjani na katapila tayari kucheza na Yanga, mwenye
shati la kitenge hapo mlagoni ni Mbunge wa Shinyanga mjini Mheshimiwa Stephen Masele ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini amekuwa bega kwa bega na timu ya Stand United.
No comments:
Post a Comment