Kocha Msaidizi wa Azam FC, Kali Ongala ameachia ngazi. Ongala ambaye ni mtoto wa aliyekuwa mwanamuziki .marehem Remmy Ongala amejiuzu kuifundisha timu hiyo yenye maskani yake Chamazi ambao ni mabingwa wa tetezi kwa mujibu wa afisa habari wa timu hiyo Jaffar Idd akihojiwa na kipindi cha michezo cha redio one amekiri na kusema kocha huyo alikuwa na mpango wa muda mrefu wa kutaka kwenda nje ya nchi kwa ajilin ya kusomea ukocha na ndiponalipoandika barua ya kuomba ruhusa ya kujiuzuri ili apate nafasi ya kwenda uingereza kuchukua mafunzo ya ukocha
No comments:
Post a Comment