Pages

Friday, November 28, 2014

MBUNGE LUGOLA ATAKA KUVAA KININJA BUNGENI

Katika hali ya kushangaza mbunge lugola aliomba kuvaa kininja ili asiwaangalie usone wale wahusika wa ESCROW huku akiamini ule usemi wa kusema ukitaka kumuua nyani usimuangalie usoni kwa sababu yeye hangalii itikadi ya chama yeye anaangalia suala la utaifa anapokuwa bungeni

No comments:

Post a Comment