MSANII Naseeb Abdul ‘Diamond Platumz’ ametwaa tuzo tatu za Channel O usiku wa jana nchini Afrika Kusini. Tuzo hizo ni; Most Gifted new comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa Number One!
Hizi ndio tuzo tatu alizoshinda Daimond platnumz
Bi Sandra nae hakuwa nyuma alikuwa bega kwa bega na mwanawe kwenye tuzo hizo za CHOAMVA
Diamond Platnumz Mama Nasseb and Zari theboss lady wakiwa na tuzo zote 3
Diamond na Zari wakiwa kwenye red carpet CHOAMVA 14
Mr president akiwa na ma meneja wake
Diamond Platnumz na mama yake pamoja na Zari wakiomdoka ukumbini baada ya tuzo
Mama Naseeb akiwa na Zari CHOAMVA 14
Timu nzima ya wasafi ikipeperusha bendera ya Tanzania kwenye tuzo hizo za CHOAMVA 14
Wakati akipokea moja ya tuzo zake
Hizo hapo mmeziona
Rais wa wasafi akifanyiwa mahojiano na Ayo TV
Madaam Rita nae alikuwepo
Mapicha yakiendelea huku mama wa super star akimuangalia mwanawe
Diamond Platinum akifanyiwa interview na host wa red carpet huku akiwa ameshikilia tuzo zake
No comments:
Post a Comment