Pages

Monday, December 1, 2014

DIAMOND PLATNUMZ NA WEMA SEPETU KUCHUANA KWENYE TUZO MOJA

Haya. baada ya Dimond kunyakuwa tuzo tatu(3) katika Channel O Music Award,sasa anakibarua kingine cha kumkabili mpenzi wake wa zamani Wema Sepetu kwenye Tuzo za Swahili Fashion Week katika kipengele cha Mercedes Benz Icon of The Year

Ukiacha na na Diamond na Wema,wengine wanao shindania tuzo hiyo ni Mwamvita Makamba,Millen Magese na Mohamed Dewji. Tuzo hizo zinazosimamiwa na kampuni ya 361 Degree zitazolewa siku ya mwisho katika onyesho la Swahili Fashion Week litakalo fanyika Desemba 5 hadi Desemba 7 mwaka huu jinsi ya kupiga kura tembelea Website ya Swahili Fashion Week

No comments:

Post a Comment