Najua
watu wengi waliisubiri hii kwa hamu.. wengine hata sio mashabiki wa
boxing lakini walijikuta wakivutiwa na hii.. Promo ilikuwa kubwa sana,
pambano la kihistoria ambalo dunia nzima ililisubri ni hili kati ya
Floyd ‘Money’ Mayweather na Manny Pacquiao.
Points
tayari zimeamua, pambano limeenda kwa round 12, Floyd
Mayweatherkamshinda Pacquiao kwa points za majaji watatu wote, 118 kwa 110, 116 kwa 112 na 116 kwa 112.
No comments:
Post a Comment