Pages

Saturday, April 5, 2014

BREAKING NEWS

 MOTO WATOKEA HOSPITALI YA TMJ

Moto mkubwa unaosadikiwa umesababishwa na shoti ya umeme umewaka jioni ya leo katika Hospital ya TMJ iliyopo Mikocheni Jijini Dar es salaam. Kikosi cha zimamoto cha jiji la Dar es salaam wanaendelea na kuudhibiti moto huo hadi muda huu. Kwa taarifa zaidi tutaendelea kupeana.

No comments:

Post a Comment