Pages

Sunday, May 4, 2014

ARSENAL YAICHAPA WEST BROM BAO 1-0

 Olivier Giroud Arsenal West Bromwich Albion Premier League 05042014
Olivier Giroud wa Arsenal akishangilia baada ya kushinda kwenye mechi yao dhidi ya West Brom ambayo iliishia kwa Arsenal kushinda 1-0 kwenye uwanja wao wa Emirates.


 

Mesut Ozil wa Arsenal akiwa anamuacha beki wa West Brom wakati timu hizo zilipokutana leo kwenye ligi kuu ya England ambapo Arsenal iliweza kumchapa West Bromwich Albion goli moja kwa sifuri

 
Nacho Monreal akitoa pande.

Arsenal leo imeshinda katika mechi yake dhidi ya West Bromwich kwa goli 1-0 kwa goli lililofungwa na Olivier Giroud katika dakika ya 15 ya mchezo kwa kichwa, Ushindi wa Arsenal leo umeifanya iwe na pointi 76 kuendelea kubaki katika nafasi ya nne ya msimamo wa ligi kuu ya Uingereza.

No comments:

Post a Comment