Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa
Wafanyabiashara wa Bim Barani Afrika, uliofanyika leo Mei 28, 2014
kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. M ohammed Gharib
Bilal, akiongozana na Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima, wakati
akiwasili kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar Es
Salaam, leo Mei 28, 2014 kwa ajili ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa
mwaka wa Wafanyabiashara wa Bim Barani Afrika.
Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima, akizungumza machache kabla ya kumkaribusha Makamu wa Rais kufungua rasmi mkutano huo.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal wakati akiwahutubia kufungua mkutano huo.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal wakati akiwahutubia kufungua mkutano huo.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal wakati akiwahutubia kufungua mkutano huo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo baada ya
ufunguzi.
No comments:
Post a Comment