Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akichukua fomu ya
kugombea tena nafasi ya Katibu Mkuu wa Chama hicho katika ofisi kuu za
CUF Wilaya ya Magharibi Kilimahewa Zanzibar.Anayemkabidhi ni Kaimu
Katibu wa CUF Wilaya ya Magharibi Ussi Juma Hassan.
No comments:
Post a Comment