Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akibadilishana zawadi na Waziri wa Biashara, Uchumi na Viwanda wa
Japan, Toshimitsu Motegi, baada ya mazungumzo yaliyofanyika ofisini kwa
Waziri huyo akiwa katika ziara yake nchini Japan, leo Mei 19, 2014.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa Kampuni ya JETRO, Hiroyuki
Ishige, wakati walipokutana na kwa mazungumzo akiwa katika ziara yake
nchini Japan, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akibadilishana zawadi na Mwenyekiti wa Kampuni ya JETRO, Hiroyuki
Ishige, baada ya mazungumzo yao wakati Makamu Dkt Bilal, akiwa katika
ziara yake nchini Japan, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika mazungumzo na Rais wa JAICA, Akihiko Tanaka, yaliyofanyika
wakati walipokutana kwa mazungumzo akiwa katika ziara yake nchini
Japan, leo Mei 19, 2014. Kulia ni Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison
Mwakyembe (wa pili kulia) ni Balozi wa Tanzania nchini Japan, Salome
Sijaona.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika mazungumzo na Rais wa JAICA, Akihiko Tanaka, yaliyofanyika
wakati walipokutana kwa mazungumzo akiwa katika ziara yake yake leo
No comments:
Post a Comment