Adam Kuambiana enzi za uhai wake.
MWIGIZAJI
na Muongozaji filamu maarufu Bongo, Adam Kuambiana amefariki dunia
wakati akipelekwa hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es
Salaam kwa matibabu alfajiri ya kuamkia leo. Marehemu alianguka chooni
akiwa location katika hoteli ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa Remy, Dar.
Kabla ya mauti kumfika, Adam alikuwa akilalamika kuwa anasumbuliwa na
tumbo.
Marehemu Kuambiana katika muonekano wake wa siku zake za mwisho za uhai wake
...katika pozi na msanii Irene Uwoya
...(kushoto) akiwa na wasanii wenzake (kutoka kulia), Tino na Mtangazaji wa Clouds TV, Zamaradi
Chanzo: GPL
No comments:
Post a Comment