Katibu Mkuu wa
CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM
(ZNZ) Vuai Ali Vuai mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege Pemba,
Katibu Mkuu anatarajiwa kufanya mkutano wa hadhara Pemba
Katibu Mkuu wa
CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Viongozi wa CCM Pemba mara
baada ya kuwasili Pemba leo ambapo anatarajiwa kufanya mkutano wa
hadhara utakaofanyika Gombani ya Kale.
Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ukikatiza mitaa ya Madungu Flat.
Katibu Mkuu wa
CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisaini vitabu vya wageni kwenye afisi kuu
ya CCM Pemba Chake Chake pamoja na Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape
Nnauye wengine ofisini ni Naibu Katibu Mkuu CCM (ZNZ) Vuai Ali
Vuai,Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kusini Ndugu Abdala Mshindo na Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Kaskazini Ndugu Mzee Mbelwa.
Katibu wa
Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiangalia Buku la Wageni ( Kitabu cha
Kusaini Wageni) cha Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Pemba
Buku la Wageni ( Kitabu cha Kusaini Wageni) cha Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Pemba
No comments:
Post a Comment