Pages

Thursday, June 26, 2014

MAXIMO AWASILI DAR ES SALAAM LEO KWA KUINOA RASMI DAR YOUNG AFRICAN



AKISALIMIANA NA WANACHAMA NA WAPENZI WA KLABU HIYO 


AKISALIMIANA NA WANACHAMA NA WAPENZI WA KLABU HIYO 


AKISALIMIANA NA WANACHAMA NA WAPENZI WA KLABU HIYO


AKIPOKEWA KATIKA KLABU YA YANGA


AKIONGEA NA WANDISHI WA HABARI MARA BAADA YA KUWASILI KATIKA UWANJA WA MWALIM NYERERE LEO


MAXIMO AKITEREMKA KATIKA KLABU YA YANGA
MAXIMO AKITEREMKA KATIKA KLABU YA YANGA


MAXIMO AKIONGEA NA WANDISHI WA HABARI MARA BAADA YA KUFIKA LEO KATIKA UWANJA WA NDEGE WA MWALIM NYERERE LEO


MAXIMO AKIONGEA NA WANDISHI WA HABARI MARA BAADA YA KUFIKA LEO KATIKA UWANJA WA NDEGE WA MWALIM NYERERE LEO


MAXIMO AKISALIMIANA NA WAANDISHI WA HABARI MARA BAADA YA KUWASILI


KOCHA MAXIMO AKITOKA NJE KATIKA UWANJA WA NDEGE LEO MCHAANA BAADA YA KUWASILI
WAPENZI MASHABIKI WA YANGA WALIOFIKA KWENYE UWANJA WA NDEGE WA MALIMU NYERERE KUMPOKEA KOCHA WAO MAXIMO LEO ALIPOFIKA MUDA SAANA NANE MCHANA


MASHABIKI WA SIMBA WAKISHOBOKEA HUKU WAKITOA MANENO YA DHARAU  WAKIWA NJE YA KLABU YAO WAKATI MSAFARA WA KOCHA MAXIMO UKIPITA KATIKA BARABARA YA MSIMBAZI WAKIELEKEA KATIKA KLABU YA YANGA JANGWANI LEO


KOCHA WA YANGA MAXIMO AKIWASALIMIA WAPENZI NA MASHABIKI WA YANGA MARA BAADA YA KUTEREMKA KWENY KLABU HIYO LEO AKITOKEA BRAZILI


MAXIMO AKIWASILI KATIKA KLABU YA YANGA JANGWANI AKIWA KATIKA GARILEO


WAANDISHI WA HABARI NA MASHABIKI WA YANGA WAKIMUHOJI KOCHA MAXIMO MARA BAADA YA KUWASILI LEO KATIKA UWANJA WA NDEGE


MASHABIKI WA YANGA WAKIWA  WAMEJIPANGA KATIKA UWANJA WA NDEGE WANAMSUBIRI KOCHA MPYA MAXIMO AKITOKA WAMPE MKONO LEO

No comments:

Post a Comment