Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akiambatana na ujumbe wa Tanzania kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Wakuu wa
Nchi za Umoja wa Afrika Mjini Malabo, Equatorial Guinea. Miongoni mwa
masuala muhimu yanayotarajiwa kujadiliwa kwenye mkutano huu ni bajeti ya
umoja huo na mkakati wa kukusanya maoni kutoka nchi wanachama kuhusu
Afrika ifikapo mwaka 2063, ambapo umajo huu utafikisha miaka mia moja.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa
na wajumbe wenzake wa kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa
Afrika unaofanyika Mjini Malabo, Equatorial Guinea.
Viongozi wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika wakiwa kwenye picha ya Pamoja.
Picha na IKULU.
No comments:
Post a Comment