KILENDEMO's BLOG
Pages
Home
Monday, June 2, 2014
PICHA NA MATUKIO KWENYE MSIBA WA MAMA MZAZI WA ZITTO KABWE MKOANI KIGOMA
Mheshimiwa Zitto Kabwe akiwa pamoja na waombolezaji wengine katika msiba mama yake mzazi, Marehemu Shida Salum.
Zitto kabwe akipewa pole na watu waliofika msibani.
Mwili wa marehemu mama mzazi wa Zitto kabwe ukiwasili nyumbani.
Mwili wa marehemu Shida Salum ukiandaliwa kwa ajili ya kuombewa.
Mwili wa marehemu Shida Salum ukiombewa.
Viongozi mbalimbali wakishiriki kuombea mwili wa marehemu.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment