Pages

Saturday, November 8, 2014

BREAKING NEWS!!!!SITTI MTEMVU AJIVUA TAJI LA MISS TANZANIA 2014, LILIAN KAMAZIMA AMRITHI!


Sitti Mtemvu 2014 kajivua taji rasmi ndani ya hoteli ya JB BELMONTE Posta - Dar es Salaam.


Mshindi namba 2, Lilian Kamazima kakabidhiwa rasmi taji hilo.
 
 Lilian Kamazima 

Hapo mwanzo alikua anashutumiwa Kwamba amegushi vyeti na umri ili ashide umiss ambapo ilizua mjadala mkubwa kwenye . Hata hivyo alikanusha habari hizo kwamba sio za kweli ambapo hata Hashimu Lundenga alithibitisha kwamba hajagushi umri. 

No comments:

Post a Comment