Pages

Friday, March 20, 2015

TAHADHARI YA KUWEPO MVUA KUBWA MAENEO YA PWANI YA NCHI

 
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini imesema kutakuwepo mvua kubwa inayozidi mm 50 katika maeneo ya Dar, Lindi, Mtwara, Pwani na Unguja kati ya Machi 20 hadi 22 mwaka huu.

No comments:

Post a Comment