Pages

Wednesday, April 30, 2014

ATLETICO MADRID YATINGA FAINALI UEFA CHAMPIONS,YAICHAPA CHELSEA 3 - 1

Diego Costa (kushoto) akishangilia na Koke baada ya kufunga bao la pili kwa mkwaju wa penalti.

Fernando Torres (kulia) na Samuel Eto'o wakiwa hawaamini kilichowasibu. Kushoto ni Ramires

Mourinho akipeana mkono na Diego Simeone baada ya kipenga cha mwisho.

Atletico Madrid imetinga Fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuizima Chelsea kwa mabao 3-1 kwenye mechi ya Nusu Fainali iliyopigwa Stamford Bridge jijini London usiku huu.
Mabao ya Atletico Madrid yamewekwa kimiani na Adrian dakika ya 44, Diego Costa dakika ya 60 kwa penalti na Turan dakika ya 72 wakati bao pekee la Chelsea likifungwa na Torres dakika ya 36 ya mchezo.

No comments:

Post a Comment